Airpay Academy ni jukwaa mseto lililoundwa kwa ustadi, ambalo linawawezesha Watanzania, wakiwemo wakala, Wa'Jasiri, Ma'Shujaa na Wanafunzi wa Vyuo, ujuzi muhimu wa kidijitali, kifedha na ujasiriamali kwa mafanikio katika uchumi wa kisasa wa kidijitali.
Anza